Jinsi ya fix Windows was unable to complete the format kwenye Computer yako
Unaletewa ujumbe "Windows was unable to complete the format" kwenye computer yako kipindi unahitaji kuformat Hard Drive, Flash Drive au Memory Card? Hii ni tatizo ambazo hutokea kipindi unahitaji ku-format Memory Card, Flash Drive au Hard Drive kwenye computer yako.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuformat SD Card, Flash Drive na Hard Disk bila kuletewa ujumbe wa "Windows was unable to complete the format"
Post a Comment