Jinsi ya kurudisha Picha, Video, Doc & Audio zilizofutwa kwenye Computer yako


Kwa kutumia njia hii utaweza kurudisha mafile yako uliyofuta kwenye Computer, Memory Card, Flash Drive na Hard disk. Njia hufanya kazi hata kama umepiga Windows upya ikafuta mafile yako kama vile Picha, Audio, Video, Program, Pdf, Doc n.k bado mafile yako yatarudi
Njia hii ni rahisi na mtu yoyote anaweza kuitumia kurudisha mafile yaliyofutwa au kuliwa na virusi



No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.