Jinsi ya kuuninstall program zaidi ya moja kwenye Computer yako
Hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia ku-uninstall program zaidi ya moja kwenye computer yako. Una program 10 au 15 na unataka kuzi-uninstall kwa pamoja kwenye computer yako. Tumia njia hii, ni rahisi na itachukua muda mfupi kukamilisha zoezi zima.
Post a Comment