Jinsi ya kuweka picha katika video yoyote
Unahitaji kuweka picha katika video yoyote offline? Basi hii ni njia rahisi ambayo itakusaidia kuweka picha yoyote katika video.
Faida
- Itakusadia kulinda kazi zako (itakuwa na logo au picha yako)
- Itafanya kazi zako zijulikane. Watu watakujua kupitia picha uliyoiweka
- Utaweza kuweka picha hata kwenye nyimbo (Audio)
Hii software hutolewa bure na haina malipo yoyote. Furahia sasa
Post a Comment