Jinsi ya kupiga Windows kwenye computer yoyote (Kitabu)
Hiki ni kitabu ambacho kitakusaidia kuinstall Windows kwenye computer yako kwa urahisi zaidi hata kama hauna ujuzi wowote kwasababu baada ya kusoma na kuangalia video utaweza kuweka Windows yoyote kwenye computer yako na kui-activate.
Kuinstall Windows siyo jambo gumu kama wengi wanavyofikiria ni rahisi na pia linahitaji umakini tu wakati wa kupiga Windows yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 na 11.
Hiki kitabu kina tutorials, Maelezo pamoja na software ambazo zitakusaidia- Kutengeneza Windows Bootable flash drive au DVD
- Kuinstall Windows kwenye computer yako
- Kuweka Drivers kwenye computer yako
- Kugawa partition kwenye computer yako
- Kufuta Partition ya kawaida kwenye computer yako
- Kupunguza ukubwa wa partition kwenye computer yako
- Kufuta free space au unallocated partition kwenye computer yako
- Kuongeza ukubwa wa partition kwenye computer yako.
- Kuondoa matangazo ya internet unapoperuzi mtandaoni
- Utaweza kuactivate Windows yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11
- Utaweza kuondoa Bios Password na kusolve matatizo mengine yanayohusiana na computer yako
Post a Comment