Apps muhimu kwenye simu za Nokia Symbian na Java

Ili ufurahie kuweka app yoyote kwenye simu za Nokia symbian na Java. Ni vizuri ujailbreak simu yako. Ni kitendo cha kubadilisha mfumo wa simu iwe kama yako (Kama umeitengeneza wewe) ili kuweka chochote unachokitaka. Utaweza kutoa apps ambazo huzihitaji, kubadilisha Font (Mwandiko) na vingine. Kama haujabreak kuna baadhi ya app ukiziinstall kwenye simu yako zitakataa.

Wale wanaotumia simu zenye mfumo wa Symbian na Java kama vile Nokia 500, N8, E7, C6, C7,X7 & Nokia Oro. You may also like 18. Restart simu yako. Mpaka hapo utakuwa umeshajailbreak simu yako

You may also like Jinsi ya kuflash simu ya Nokia Symbian ka kutumia Phoenix na jinsi ya kuflash kwa kutumia infinity box (Nokia Best BB5)

WEBSITE ZA KUDOWLOAD APPS ZA SIMU YAKO

Phoneky
Waptrick
Mobile9

APPS ZA MUHIMU KWENYE SIMU ZA NOKIA SYMBIAN

1. Blacklist

Hii itablock unwanted calls na sms kwenye simu yako. Download blacklist app na key yake

2. Front Zoomer

Hii inabadilisha font kwenye simu yako na inafanya kuwa ya kipekee. Download Font zoomer au Font Zoomer plus  na 45 fonts . Install kwenye simu yako. Ukishamaliza kuinstall Font zoomer na uifunge. Fungua folder la 45 fonts, copy font zote kisha ingia kwenye internal memory ,tafuta folder la font zoomer, kisha paste hizo font zote kwenye folder la font zoomer. Fungua font zoomer app utaona font zimeongezeka. Chagua font unayotaka. 

3. Abc recorder

Hii itakuwezeha kurecord calls zote unazopiga au kupigiwa. Download ABC Recorder

4. Joikuspot au Zpot

Hii inatumika kama WIFI Hotspot ambapo utaweza kutumia internet kwenye computer kutoka kwenye simu yako ya Nokia. Download Zpot au Joikuspot

5. Illustrator by blue ray

Hii ni themes itakayobadilisha muonekano wa simu yako. Download illustrator by blue ray

6. Phonetorch

Hii hutumika kama tochi kwenye simu yako. Download Phonetorch

7. Piscel Smart office

Hii itakusaidia kusoma majarida yenye mfumo wa doc, docx, text na pdf. Download Piscel Smart Office

8. Quick office

 Hii itakusaidia kuandika na kusoma vitu vyako na kuhifadhi kwenye mfumo wa doc, text na docx, Download Quick Office

 9. Vhome version 3.0.0

Hii ni launcher itabadilisha muonekano wa simu yako na iwe kama ya android. Download Vhome

10. Best screenSnap version 1.0.0

Hii itakusaidia kupiga screenshot kwenye simu yako. Download Best ScreenSnap

11. App locker

Hii itafunguka mafile yako na apps ulizoinstall kwenye simu kwa kuweka password na hakuna mtu atakayeingia labda kama anajua password sababu kila file utakalofunga iwe Contacts, SMS au File manager itaomba password. Download App locker

12. Opera min 7

Itakusaidia kuperuzi kwenye mitandaoni. Download Opera Min 7

13. UC browser version 9.2

 Baadhi ya sites itagoma kufungua hili kurekebisha hili. Ingia settings-preference - Advanceed, enable wap acess via server. Kisha nenda download, bonyeza maximum task weka 9.
Baadhi ya mafile ya 4shared na mediafire huwa ni ngumu kudownload kwahiyo 
ingia kwenye hii site http://www.speedproxy.co.uk ukishafungua, rudi kwenye
file unalotaka kudownload kwenye 4shared au mediafire, copy Url juu kwenye browser yako kisha i-paste kwenye hyo website ya speedproxy, endelea na hatua zingine na utaona file lako limeanza kudownload. Download UC Browser 

Kwenye video za youtube. Ukishafungua video yako badilisha url ya video juu kwenye browser yako iwe mfano ilikuwa http://www.youtube.com basi iweke hivi au ingia hapa savefromnet http://www.ssyoutube.comi takupeleka kwenye page ya save from net au ingia kwenye website ya keepdownloading, i-paste url yako kisha bonyeza download.

14. Adobe reader LE

Hii itakusaidia kusoma vitabu vilivyokwenye mfumo wa pdf. Download Adobe Reader LE

Other Nokia applications

Download Device Locker 
Download Mazelock
Download Mp3 Cutter
Download Marshallow
Download Mr app Locker
Download Joikuspot premium
Download Pdf Reader
Download Movie media player
Download Photo Editor
Download Winrar

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.