Jinsi ya kubypass iCloud kwenye iPhone na iPad bure

Je, umesahau Apple ID na Password kwenye iPhone na iPad yako. Hii njia itakuwezesha kubypass Apple ID na Password kwenye kifaa chako

Njia hii inatumila kubypass iCloud (Apple ID na Password) kwenye iPhone X, 8 Plus, 8, 7 Plus, 7, SE, 6s Plus, 6s, 6 Plus, 6, 5s, 5c, 5, 4s, 4 na kwenye iPad zote iPad Air 2, iPad Air 1, iPad 6th, iPad 5th, iPad mini 4, iPad mini 4, iPad mini 2 na iPad 4 zenye iOS 9.0, iOS 8.1, iOS 8.0.2/1, iOS 8, iOS 7.1.1 , iOS 7.1, iOS 7.0.6, iOS 7.0.5 and other iOS

Jinsi ya kubypass iCloud (Apple ID na Password) kwenye iPhone na iPad

1. Download Doulci Activator na install kwenye computer yako

2. Launch Doulci iCloud Host setup na click on Setup Doulci iCloud Host setup



3. Kisha Launch Doulci Activator na connect iphone au iPad yako ili uweze kubypass iCloud 


4. Ikishamaliza kubypass iCloud, itakuletea ujumbe huu. Hapo washa iPhone au Ipad yako ili ufurahie maisha


Unaweza kubypass kwa kutumia wifi kwenye simu yako. Download hii video ina maelezo yote jinsi ya kubypass iCloud (Apple ID na Password) kwenye simu yako

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.