Jinsi ya kutumia internet bure bila salio wala kifurushi kwa kutumia VPN
Kwa kutumia PD-Proxy VPN utaweza kuperuzi, kudownload na kuupload mafile mtandaoni bila ya kutumia salio la internet. Utadownload Movie, Music na Software bure kwenye website yoyote ile unayotaka kama YouTube na zingine. Kila Internet Provider ana Loophole (upenyo) kwenye system zake. Ili kupata lazima kuwepo na tools zitakuwezesha kupata hiyo internet kwa urahisi zaidi. Kama vile unavyoona website zinakuwa hacked kwasababu kuna loophole.
Fuata hatua hizi ili uweze kutumia internet bure kwenye computer yako
2. Download PD- Proxy na kisha Launch PD-Proxy.exe, Bonyeza Connect button na usubiri mpaka i-connect yenyewe. Furahia internet bure bila salio
3. Itatokea meseji ya kuinstall driver. Install driver
Unaweza kubadilisha Port kwa muda wowote
1. Bonyeza Settings na kisha bonyeza "Click here to Show Advanced Settings
2. Bonyeza Port Scanner
3. Bonyeza Start Scan button. Unaweza kuweka Full port scan
4. Itaanza kuscan port

Post a Comment