Jinsi ya kuzuia meseji za promotion za mtandao wowote kwenye simu yako
-Download Block Text, SMS, Spam Blocker - Key Messages apk na install kwenye simu yako
Jinsi ya kujua jina la mtu anayekupigia simu kwa namba mpya au ambayo hauna kwenye simu yako
Hii ni App itakayokusaidia kujua majina ya watu mbalimbali wataokupigia simu kwa namba ambazo hauna kwenye simu yako
-Download TrueCaller apk na install kwenye simu yako.
Jinsi ya kubadilisha muonekano wa sura yako kuanzia utoto, ujana mpaka uzee
-Download FaceApp apk na install kwenye simu yako ili uweze kubadilisha sura
Jinsi ya kupata like nyingi Facebook na Instagram
Hii ni App itakusaidia kupata like nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii
-Download Machine Liker apk na install kwenye simu yako ili upate likes za kutosha kwenye account yako ya Facebook au Instagram
Post a Comment