Jinsi ya kudownload video za Youtube, Twiter Facebook na instagram kwenye Simu na Computer

Hizi ni njia zinazotumika kudownload Video za Youtube, Twitter, Instagram na Facebook

SIMU

Download na install hizi apps kwenye simu yako. Hutumika kudownload video kutoka kwenye social media mbali mbali kama vile YouTube na Twitter

Tubemate apk
YouTube video downloader apk
Iskysoft itube apk
ClipGrab apk
Ogyoutube apk
SnapTube apk
Videorder apk
Vidmate apk

FACEBOOK

Hutaweza kudownload video za facebook bila kutumia software yoyoyte kwenye simu yako

i. Ingia kwenye website ya Facebook

2. Tafuta video unayotaka kudownload. Kisha i-play hiyo video 

3. Url ya video yako juu itakuwa tayari imekuwa replaced na itaonekana http//m.facebook.com. i-play hiyo video wakati inaplay, i-hold hiyo video kwa muda kama vile unataka kucopy itakuja option ya kusave. Save video yako na utaikuta kwenye Gallery ya simu yako

iPAD

TurboDl

INSTAGRAM

Kudownload video za instagram. Tumia hizi apps

InstaSavePro.apk
Videorder apk
Vidmate apk
Instagram plus apk
Oginstagram apk
Regrann apk
Wofu apk
iGetter apk
Ukishamaliza kuinstall iGetter apk kwenye simu yako. Ingia instagram tafuta video yako tazama chini ya video kuna dot 3 (...). Tap hapo utaona URL copy rudi katika iGetter paste hiyo link itaanza kudownload automatically itakuuliza unataka kuisave, tap yes kama utataka kuipa jina utaipa. Kisha save  video yako na utaikuta kwenye Gallery ya simu yako.

COMPUTER

FACEBOOK, YOUTUBE, INSTAGRAM & TWITTER

Njia ya kwanza

Videorder 


Download na install Videorder kwenye computer yako



Njia ya pili

FACEBOOK

GETFVID

Hii inatumika kwenye computer na kwenye simu. ni online social media video downloader

1. Ingia kwenye website ya facebook, angalia video unayotaka ku-download. Kisha copy url ya video.

2. Kisha ingia Getfvid

3. Paste url ya Video yako, halafu bofya kitufe cha Download na video yako itaanza kudownload


Njia ya tatu

1. Ingia kwenye website ya Facebook. Angalia video unayotaka kuidownload kwenye facebook

2. Ibonyeze hiyo video na ikianza kuplay. Juu kwenye browser yako itakuwa hivi http//www.facebok.com. Sasa futa www na isomeke http//m.facebook.com kisha bonyeza enter itafunguka page nyingine. Ikianza kuplay right click kisha bonyeza option ya save video as. Save as Mp4

Njia ya nne

KEEPDOWNLOADING

KUDOWNLOAD VIDEO KUTOKA INSTAGRAM, DAILYMOTION, YOUTUBE, FACEBOOK, VIMEO, TWITTER, FUNNY OR DIO & LIVELEAK

Hii ni online video downloader ambayo itakusaidia kudownload video za Youtube,  Dailymotion, Facebook, Twitter, Instagram, Vimeo, Funny or Dio na Liveleak

1. Copy video url kutoka kwenye mitandao tajwa kisha paste url kwenye KeepDownloading
Kisha bonyesha kitufe cha download.


2.  Chagua format unayotaka kisha bonyeza download.


3. Video itaanza kuplay. Mkono wa kulia utaona vidoti 3


4. Bonyeza kwenye neno Download 


Njia ya tano

KEEPVID


1. Ingia kwenye website ya keepvid.pro

2. Copy Video Url kisha i-paste kwenye keepvid.pro kisha bonyeza kitufe cha button


KUDOWNLOAD VIDEO ZA YOUTUBE

1. Juu kwenye address ongeza neno "SS" kwenye https://www.ssyoutube.com/watchkhjf itakupeleka
moja kwa moja kwenye save from net. Utachagua format ya video unayotaka kudownload kisha 
bonyeza kitufe cha download na hapo itaanza kudownload.




2. Ingia kwenye website ya SaveFrom.net kisha paste url ya video yako kisha bonyeza button ya mshale kama inavyoonekana kwenye picha.


SOFTWARE

1. Download Internet download manager (idm) na install kwenye computer yako. Hii ni njia rahisi sana kutumia na utaweza kudownload vitu vingi sana mtandao kuanzia video mpaka software kwa muda mfupi. Hii ni preactivated kwahiyo haitakuomba key

-Baada ya kuinstall na kuenable kwenye browser yako. Ingia kwenye website ya Youtube kisha chagua video unayotaka. I play. Utaona IDM imejitokeza juu kulia mwa video yako. Bonyeza kwenye Download this video



- Chagua format unayotaka kudownload. Kwa ubora wa video yako chagua format inayoishia na HD



2. Internet Downloader Accelerator na install kwenye computer yako. Fungua software yako kisha copy link ya video youtube halafu unai-paste kwenye Internet Downloader Accelerator.


3. Download Xilsoft na install kwenye computer yako. Fungua software yako kisha copy video url kutoka YouTube kisha paste kwenye Xilsoft. 

Important Notice

Njia nzuri ya kudownload video kutoka kwenye mitandao mbali mbali ni ya kutumia internet download manager (idm) na Keepvid.pro

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.