Jinsi ya Kutengeneza Account ya Apple bila kuwa na Credit Card
Fuata hatua hizi ili uweze kutengeneza Acount ya Apple kwenye simu yako
1. Ingia kwenye Apple store na tafuta free application
2. Tap the free button, na kisha bonyeza kwenye install button
3. Tap tena itaanza ku-download. Kabla haijanza ku-download Apple itakuuliza kama unataka ku-sign kwenye account au unataka kutengeneza
4. Chagua Create New Apple ID
5. Chagua nchi au jimbo, kisha tap Next
6. Bonyeza Agree mara mbili kukubali terms and conditions
7. Andika taarifa muhimu ili utengeneze account ya Apple ikijumuisha email,
password, tarehe ya kuzaliwa.
9. Bonyeza Next. Hapo utakuwa umemaliza kutengeneza account ya Apple. Hakikisha email haijawahi tumika kwenye Apple ID
10. Kwenye Billing information, chagua None,
11. Apple itatuma taarifa confirmation email kwenye email yako. Check email yako kisha bonyeza verify link
12. Mwisho, rudi kwenye Apple store na kisha sign in. Mpaka hapa utaweza kudownload free app kutoka Apple store
Post a Comment