Jinsi ya kufungua file lolote lenye Password

Watu hufunga mafile yao kwa nia njema ili kuzuia taarifa zao za muhimu kutosomwa na watu wengine. Ila ugumu unakuja pale unapotaka kufungua file lenye mfumo wa RAR, ZIP, Microsoft Word Office au PDF lakini umesahau Password au PIN. Tumia njia hii kufungua file lako ulilolisahau Password au PIN

Mahitaji

Download ZIP & RAR Password Remover
Download Office 
Download PDF 

Brute-Force

Hutumika kutambua taarifa za mtumiaji kama Password na PIN

Mask

Hutumika kutambua Password, number, alama za uandishi kama vile ;, * n.k

Dictionary

Hutumika kutambua majina yaliyoko kwenye kamusi kama vile Cat, Come n.k

1. Baada ya kuinstall, fungua program yako na ubonyeze Open kuchagua file lenye password. Unaweza kutumia Brute-force, Mask au Dictionary.


Software zingine

Rar Password unlocker
Advanced_Archive_Password unlocker

JINSI YA KUWEKA PASSWORD KWENYE FILE ZAKO

1. Download WinRAR kisha install kwenye computer yako. Right click kwenye Folder au file unalotaka kuliwekea password. Kisha bonyeza Add to Archive



2. Bonyeza Set password



3.  Enter password na kisha bonyeza OK



4. Bonyeza OK

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.