Jinsi ya kuondoa tatizo la screen overlay detected kwenye simu yako
1. Uninstall DU speed Booster na DU Battery Save kwenye simu yako
Njia ya 2
1. Ingia Settings >>> Application >>> Apps
2. Kwa juu utaona alama ya Gear
3. Kibonyeze kisha chagua Draw over other apps. Zitakuja Apps zote
4. Tap kwenye neno Off
Njia ya 3
1. Ingia Settings-Application -Application Manager
2. Itafute hiyo App kisha ingia kwenye Permission
3. Ruhusu hiyo App itumie inachotaka kutumia mfano Location, Storage, Contacts, na Microphone. Ukishamaliza kuruhusu
4. Ingia tena kwenye Screen over lay app ziliruhusu App unazotaka kutumia kwenye simu yako
Jinsi ya kufix unfortunately, the process com.android.phone has stopped kwenye simu yako
1. Upgrade Firmware ya simu yako iwe kwenye Marshmallow au Nougat
2. Flash simu yako
Post a Comment