Jinsi ya kutumia freebasics.com kwenye computer bila kutumia Android emulator
Freebasics.com ni mtandao ambao unakuwezesha kuperuzi baadhi ya website bure bila ya kuwa na salio (with O balance). Utaweza kuperuzi sites mbali mbali kama vile
BBC Swahili
Jamii forum
WikiHow
AccuWeather
Amazing English story
Ask.com
Babycenter
BBC News
Bing
Dictionary.com
Disney story central
ESL-CHAT (Mnaopenda kujifunza kiingereza hii inawafaa sana)
ESPN FC
ESPN.com
Information Guide Africa
Mathematics by TachMe.com
Messenger
Mwananchi
OLX
Mwananchi
Mwanaspoti
Refunite
Scholars4Dev
Shule Direct
Springster (Girl effect)
Superspot
Tanzania Today
The Citizen
Ukweli kuhusu Maisha
Unabii wa kweli
VOA Learning English
VOA Swahili
Wattpad
Wikipedia
Hii njia itakayokuwezesha kutumia freebasics.com kwenye computer. Kwenye browser yako sehemu ya kuandika address (Search with Google or enter address andika 0.freebasics.com wamekuletea ujumbe gani? Sasa tumia njia hii
Hatua kwa hatua jinsi ya kutumia freebasics.com kwenye computer yako
1. Download Mozilla Firefox na u-install kwenye computer yako. kwenye search with Google or enter address. Type about:config kisha bonyeza enter
2. Bonyeza kwenye I accept the risk!
3. Itafunguka tab, juu kushoto kwenye mozilla, right click on Preference Name, kisha chagua new na ubonyeze kwenye string
4. Sasa fungua hili file freebasics.com file kisha copy 1 na u-paste kwenye hicho kibox cha kwanza yenye maelezo yanayoanzia na general, kisha bonyeza OK. Copy namba 2 kisha u-paste kwenye hicho kibox cha pili chenye maneno yanayoanzia na Mozilla/5.0 kisha bonyeza Ok. Rudi kwenye browser yako.
5. Juu kwenye kwenye search with Google or enter address. Type 0.freebasics.com kisha press Enter
-Pia unaweza kutumia freebasics.com kwa kutumia android emulator
SIMU
Kwenye simu tumia Mozilla, Chrome, Opera min au default browser ya simu yako
1. Download na install brower mojawapo (Kama unayo ni vizuri)
2. Fungua browser yako, Juu kwenye kujaza address andika 0.freebasics.com au bonyeza hii link https://0.freebasics.com (Usitumie kuweka address kwenye Google search yaani usisearch kupitia google search engine ita
fail.
3. Kuna app ya freebasics kwenye playstore lakini hii ipo slow sana kwahiyo nakushauri tumia browser ipo faster sana.
Post a Comment