Jinsi ya kutumia apps za Android kwenye simu za Blackerry
1 Download Com.google.android.gsm-11.3.02-cobalt.apk
2. Download Cobalt.blackberry.googleid-2.8.apk
3. Download Com.google.android.gsf.login-4.3.3-cobalt.apk
4. Download Com.android.vending-6.0.0-cobalt-build2.apk
Hatua za kufuata ili uweze kutumia apps za Android kwenye simu za Blackberry
1. Unatakiwa update Blackberry OS version iwe 10.3.3.1463
2. Install file moja baada ya jingine kwaa mtiririko kama nilivyopanga hapo juu. File namba 2 na 3 unatakiwa ukishainstall login kwa kutumia email ya gmail
Kufix tatizo la whatsapp kwenye Blackberry (sharing file failed please try again)
1. Ingia blackberry world App, tafuta WhatsFixer. Download na uinstall kwenye simu yako. Kupitia app ya WhatsFixer utaweza kutatua tatizo la WhatsApp kwenye simu yako ya Blackberry
Post a Comment