Jinsi ya kutengeneza PDF file kwa kutumia Chrome, Mozilla na Microsoft Edge

Kuna wakati umeingia kwenye website na ukapenda Article fulani na unataka kuhifadhi kwa njia ya PDF file. Basi tumia njia hii kuhifadhi Page yenye article yako kwa njia ya PDF file kwenye Browser yako

Mahitaji

Download Chrome
Download Mozilla Firefox
Download Microsoft Edge

CHROME

1. Bonyeza vidoti 3 juu kulia mwa browser yako, kisha bonyeza Print au bonyeza Crtl+P kwa pamoja. Kusave browser page kwa njia ya kawaida bonyeza Crtl+S.



2. Bonyeza Save kuhifadhi kazi yako. Pia unaweza kubonyeza More settings kuchagua Paper size, Pages per sheet, margins na zingine.



3. Andika jina la file lako kisha Bonyeza Save.


Mozilla Firefox

1. Fungua mozilla. Mkono wa kulia juu mwa browser yako, utaona vimshale 3. Bonyeza Print. Kama unataka kusave browser page kwa njia ya kawaida , bonyeza Save page As au Bonyeza Ctrl+S



2. Itafunguka page nyingine. Bonyeza Print 



3. Kwenye Print, chagua Microsoft print to PDF. Print range, chagua idadi za page unazotaka kuprint, unaweza chagua all au Pages



4. Bonyeza Save. Utakuwa umeshasave page yako kwa mfumo wa PDF file




1. Bonyeza Vidoti 3 juu kulia mwa browser yako, kisha click on Print. Au bonyeza Ctrl+P. Kusave kwa njia ya kawaida bonyeza Ctrl+S 


2. Utaletewa ujumbe unaosema "You're not connected". Hii haikuzuii kutengeneza PDF file bali ni ujumbe tu. Chagua Microsoft print to pdf kisha Bonyeza Print


3. Kwenye file names, andika jina lolote unaloona linafaa kwa ajili ya file lako na kisha bonyeza kitufe cha Save.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.