Njia Rahisi ya Kuhifadhi Online Password na Website Pages kwenye Computer Yako

Kuna wakati unaingia kwenye Website mbalimbali na kuSign Up lakini baada ya siku kadhaa unakuwa hakumbuki Email au Password. Pia kuna Website umeingia ukasoma Article nzuri lakini ukasahau kusave Page au kuboomark hiyo Website. Ugumu unakuja unapotaka kusoma tena lakini website huikumbuki kabisa. Hii ni sofware inayohifadhi kila page unayoingia kwa kutumia browser yoyote na kuhifadhi Password yako. 

Mahitaji

Download Hetman Internet SPY  & Key

Jinsi ya kuangalia Website Page na Password kwa kutumia Hetman Internet SPY

1. Baada ya kudownload Hetman Internet SPY, install kwenye computer yako kisha fungua software yako. Bonyeza System Analysis


2. Chagua Account (Chagua lenye jina unalotumia kwenye computer yako)


3. Chagua Browser unayotaka kuona Website Page na Password


4. Hapo unaweza kuona Password na Website Page na pia utaweza kuiingia kwenye Page uipendayo tena kwa kutumia browser yako. Kuona Website Page, bonyeza History



Pia unaweza kuhifadhi Password zako na Website Page kwa Kuboomark Website na Kusign in kwenye Browser ili pindi inapotokea umesahau unaingia kwenye Browser yako. 


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.