Mambo 17 yanayopatikana kwenye Uniofficial WhatsApp ambayo Official WhatsApp haina

Unofficial WhatsApp ni kama vile

FM whatsapp 
OG whatsapp 
FA whatsapp 
MG whatsapp
Yo WhatsApp 
GB WhatsApp

SIFA ZA UNOFFICIAL WHATSAPP

1. Unaweza kuweka status video yenye zaidi ya mb 10

2. Kila baada ya muda mfupi unapata updated na kuwa na feature mpya

3. Anti-delete status

Itakusaidia kuona status iliyofutwa kwenye whatsApp yako

4. Anti-delete messages
Itakusaidia kuona ujumbe wa meseji uliyofutwa kwenye whatsApp yako


5. Unaweza badili mwonekano wake mara nyingi uwezavyo kuanzia kwenye font (Maandishi) hadi icon

Utaweza kukoleza maandishi kwa kuandika *maneno*  
Utaweza kuandika meseji kwenye staili ya mlazo kwa kuandika_maneno_ 
Pia utaweza kutumia  ~maneno~ 

6. Unaweza share video yenye ukubwa wowote

7. Unaweza ku-control blue tick na second tick. Kama umeweka tick moja, Ukitumiwa ujumbe, yule aliyekutumia ataona kama haijafika.
Kuweka ingia Settings >> Account >> Privacy kisha ondoa tiki iliyoko kwenye maneno ya Read Receipts.

8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia wewe utaona mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online
Ingia Settings >> Account >> Privacy >> Last Seen . Kisha chagua unataka kuzima sehemu hiyo kwa watu gani. 
WhatsApp inakupa machaguo matatu ya kati ya : Everyone, My contacts, Nobody

9. Naweza download status mtu yoyote

10.Kumjibu mtu kwa kumu-quote

Ili kuweza kurudia meseji ya mtu kabla ya kujibu shikilia meseji unayotaka kurudia kisha utaona imetokea menu yenye vitufe kadhaa, kisha bofya kitufe cha nyota kisha utaona meseji ya mtu hiyo imejiweka juu ya sehemu ya kujibu meseji, andika meseji yako kisha tuma.

11. Kujua unachati na nani mara nyingi kuliko wengine (iPhone)

Kama unataka kujua unachati na nani mara nyingi. Bofya Settings >> Data and Storage Use >> Storage Use hapo utaona majina ya watu uliochati nao mara nyingi. 

12.Kujua meseji imefika na kusomwa muda gani

Kama unataka kujua meseji uliyomtumia rafiki yako imefika na kusomwa muda gani. Bofya kwenye meseji unayotaka kujua imefika muda gani kisha bofya kwenye sehemu iliyo na kitufe chenye alama ya (i) kisha utaona meseji yako imefika muda gani na kusomwa muda gani

13. Kuzima sauti ya mlio kwenye meseji za mtu mmoja (mute conversation)

Inawezekana uko busy na unataka kuzima sauti ya group au mtu mmoja pekee unaweza kufanya hivyo kwa kushikilia meseji ya mtu unaetaka kuzima sauti ya meseji zake kisha bofya kwenye kona kisha bofya Mute. 

14.Kuzuia WhatsApp kuifadhi Picha na Video Kwenye Simu (iPhone)

Kama unatumia iphone na hutaki kujaza simu yako kwa picha na Video zinazotumwa kwenye magroup mbambali basi unaweza kufanya hivyo kwenye programu hiyo kwa kubofya Settings >> Chats kisha zima kwa kuchagua off kwenye sehemu iliyoandikwa Media.

15. Kutuma meseji ya whatsApp kwenda kwenye email

Kama unataka kutuma meseji kwenda kwenye email fanya hivi, wakati unachati na mtu bofya More > Email Chat kisha tuma meseji zako. 
Kumbuka njia hii ni kama unatumia simu yenye mfumo wa Android, Kama unatumia iPhone unaweza kuchagua jina la mtu unaetaka kumtumia meseji zako kisha nenda mpaka mwisho utaona sehemu iliyoandikwa Export Chat, bofya hapo na utaweza kutuma meseji kwenye email

16.Unaweza kuficha profile ya picha yako
Ingia  Settings >> Account >> Privacy >> Status kisha chagua My contacts only. Hakikisha huja save namba ya mtu ambae hutaki aione profile picha yako.

17. Kuunda group lenye idadi kubwa ya watu

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.