Tumia Scientific Calculator kwenye computer yako
Hii ni software ambayo itakuwezesha kutumia scientific calculator kwenye computer yako
1. Download Scientific Calculator na install kwenye computer. Anza kufurahia Scientific Calculator kwenye computer yako
1. Download Scientific Calculator na install kwenye computer. Anza kufurahia Scientific Calculator kwenye computer yako
2. Kuifunga Right click kwenye Scientific Calculator. Kisha bonyeza EXIT
Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kutumia Laptop usiku kipindi taa imezimwa. Dimmer_v1.0 ni software itakayokusaidia kupunguza mwanga kwenye computer yako
Post a Comment