Jinsi ya kuzuia namba yako ya unofficial WhatsApp kutofungiwa

Sasa hivi kuban inaendelea kwa namba za simu zinazotumia Unofficial WhatsApp kutoka kwa mtumiaji wa WhatsApp. Unofficial WhatsApp zinafeature nyingi sana ambapo official WhatsApp haina. Mambo 17 yanayopatikana kwenye Uniofficial WhatsApp ambayo Official WhatsApp haina

Njia ya 1

Kwa watumiaji wa YoWhatsApp. Download YoWhatsApp Antiban apk na install kwenye simu yako. Endelea kufurahia kutumia YouWhatsApp bila ban

Njia ya 2

Hatua

1. Uninstall Unofficial whatsApp (FM au YoWhatsApp) kwenye simu yako

2. Download official ya Whatsapp apk na install kwenye simu yako

3. Download Freezer apk na install kwenye simu yako

4. Ifungue official whatsapp app kisha register kwa kutumia namba yako ya simu ambayo unaitumia kwenye whatsApp. Ukimaliza kisha ifunge

5. Ifungue Freezer apk. Hii hutumika kufreeze app yoyote kwenye simu isifanye kazi mpaka pale utakapoiruhusu kufanya kazi.

6. Ukishafungua tafuta app ya whatsapp kisha i-freeze na hakikisha imepotea kwenye menu ya simu yako yaani isionekane

7. Download Unofficial whatsApp yako kisha install na uifungue. Endelea na taratibu zingine za kuregister account yako. Mpaka hapo utakuwa umeepuka ban.

Njia ya 3

Download Dual space apk na install kwenye simu yako. Fungua App yako ya 
ya Dual Space na Add YoWhatsApp kwenye Dual Space

Kwa wale waliopigwa Ban ya maisha 

-Restore simu yako kisha download official WhatsApp na anza kutumia tena namba yako ya zamani bila Ban

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.