Jinsi ya kutumia namba ya simu ya Marekani au Canada kwenye whatsApp bure
Mahitaji
Unaweza kutumia App mojawapo kati ya hizi hapa
Download TextPlus
Download Textnow
Download 2ndline
Download Nextplus
Jinsi ya kutumia namba ya Marekani (USA) kwenye WhatsApp bure
1. Download TextPlus App na install kwenye simu yako
2. Fungua App yako. Bonyeza Sign Up kisha jaza majina yako na Password kisha weka tiki kwenye I Agree na kisha bonyeza sign up
3. Bonyeza kwenye Add email Address na weka email yako na kisha bonyeza kwenye kitufe cha continue. Utatumiwa verification code kwenye email yako
4. Bonyeza Select your State na chagua wisconsin kisha bonyeza kwenye Select your area code, chagua 608 kisha bonyeza kwenye Get a Customer Number. Mpaka hapa utakuwa umepata namba ya USA
Jinsi ya kutumia namba ya Marekani kwenye WhatsApp yako
1. Download WhatsApp na install kwenye simu yako. Fungua WhatsApp yako na bonyeza kwenye Agree and continue kisha chagua Area code +1 na weka namba yako ya Marekani uliyoipata kwenye TextPlus. Kisha bonyeza Next
2. Ukibonyeza Next utakuja ujumbe, bonyeza OK. Utapokea ujumbe wa WhatsApp wa verification code kwenye TextPlus. Copy Verification code na weka kwenye WhatsApp kisha endelea kujaza taarifa zingine kwenye WhatsApp yako
Jinsi ya kubadilisha namba yako ya WhatsApp ya zamani na kuweka namba ya Marekani
1. Fungua WhatsApp yako. Ingia Settings kisha bonyeza kwenye Account Option
2. Utaona Option ya kubadilisha number. Weka namba yako unayotumia kwenye kibox cha kwanza, kisha weka tena number yako ya USA kwenye kibox cha pili kisha bonyeza NEXT
3. Bonyeza Done, Continue, Call Me. Utapigiwa simu. Pokea na usikilize watakachokuambia. Weka code waliyokupitia kwenye simu kwenye account yako ya WhatsApp ili kuverify
You may like also Jinsi ya kutumia App za whatsApp mbili kwenye simu mmoja
Jiunge na magroup ya whatsApp ya nchi mbali mbali ili uweze kuchat na wazungu
MAREKANI
Jiunge
CANADA
Junge
UK
Jiunge
SPAIN
Jiunge
USWISI
Jiunge
SWEDEN
Jiunge
AUSTRALIA
Jiunge
NEW ZEALAND

Post a Comment