Jinsi ya Kujua Postcode za Mikoa, Wilaya na Kata ya Tanzania

Postcode ni muhimu sana kwa wale wanaopata pesa kupitia mitandaoni au wanaonunua bidhaa nje. Tanzania hatuna Zip-code kwahiyo ukikutana na sehemu ya kujaza Zip-code acha wazi.

Njia ya 1


Download Postcode PDF. Tumia Sumatra PDF Reader kusoma PDF yako


Njia ya 2

Ingia kwenye simu yako. Njia hii inafanya kazi kwenye mitandao yote

1. Bonyeza na piga *152*00#. Bonyeza 3 >>> Ajira na utambuzi



3. Bonyeza 3 >>> TCRA-Postcode



4. Bonyeza 1 >>> Postcode za kata



5. Chagua jina la kata kulingana na herufi ya kata yako



6. Chagua mkoa mkoa 



7. Chagua wilaya



8. Chagua herufi ya Kata kulingana jina la kata yako



9. Chagua kata unayoishi.


10. Mpaka hapa utaweza kuona postcode za kata yako.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.