Jinsi Ya Kuweka Subtitle Ya Movie Au Series Isikike Kwa Sauti

Subtitle kwenye movie ni nzuri pale unapoangalia movie au series ambayo inatumia lugha usiyoifahamu kama vile kichina, kihindi, kikorea ua lugha zingine ila ugumu unakuja pale unaposoma subtitle kwa kila movie au series. Kiukweli inachosha.

Hii ni njia rahisi ya kuweka sauti kwenye subtitle ya movie au series.

1. Download AllPlayer Media Player. Kisha play movie yoyote unayotaka baada ya kudownload subtitle. Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie au series yoyote
Right click kisha bonyeza preferences



2. Bonyeza Dubbing >>> Read subtitles, using voice. Unaweza kuchagua sauti kwa kubonyeza Microsoft Zira Desktop. Kwenye movie au series unayoangalia punguza sauti mpaka 0 ili sauti ya kwenye subtitle iweze kusikika. Endelea kufurahia movie yako


No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.