Jinsi ya kuunlock modem ya D-link DWM-157


Hii ni modem ya 4G ya Zantel kwahiyo kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule. Unlock DWM-157

Mahitaji
Download DWM-157 firmware

Hatua za kufuata ili uweze kuunlock modem yako ya DWM-157. Namna ya kufungua modem ya DWM-157 iweze kutumia SIM card za mitandao mingine

1. Chomeka modem yako na install drivers. Ikishamaliza, ifunge dashboard ya modem yako.

2. Run DWM-157 firmware yako. Weka tiki kwenye I accept the agreement kisha bonyeza Next.
3. Itaanza kuupdate firmware ya modem yako. Ikimaliza, bonyeza finish kisha chomoa modem yako na itakuwa tayari kutumia SIM Card ya mtandao wowote

3 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.