Jinsi ya kuunlock modem ya D-link DWM-222
Hii ni modem ya 4G ya Zantel ambayo imekuwalocked na mtandao wa Zantel ili uweze kutumia SIM Card yao tu kwa njia hii utaweza kuunlock modem yako na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao. Unlock DWM-222 wowote ule
Mahitaji
Download DWM-222 firmware
Hatua za kufuata ili uweze kuunlock modem yako ya DWM-222. Namna ya kufungua modem ya DWM-222 iweze kutumia SIM card za mitandao mingine
1. Run DWM-222 firmware. Itajitokeza window inayotaka uinstall drivers, install
2. Itafunguka window kama ya CMD (Command prompt).
3. Chomeka modem yako ya DWM-222 kisha bonyeza button ya Enter kwenye keyboard ya Computer yako
4. Itaanza kuupdate firmware ya modem yako. Ikimalizika, chomoa modem yako na itakuwa tayari kutumia SIM Card ya mtandao wowote
How to unlock Huawei E153 Tanzania CLICK HERE
ReplyDelete