Jinsi ya kusikiliza Radio Online

Hizi ni website zitakazokuwezesha kusikiliza radio mtandaoni kutoka mataifa mbali mbali. Kupitia website hizi utaweza kusikiliza Radio yoyote ile iliyoko nchi yoyote inayorusha vipindi vya Radio kwa njia ya mtandao.

Tumia website hizi kusikiliza Radio online popote pale ulipo. Radio hizi ni bure yaani hazihitaji malipo yoyote ili uweze kusikiliza Radio

Live Online Radio


Hii ni website itakayokuwezesha kusikiliza Radio zote za Tanzania, Kenya, Uganda na nchi zingine hata Brazil au Marekani. Utaweza kusikiliza kutumia kifaa chochote kinachotumia internet kama vie simu, computer n.k. Ingia kwenye website ya Live Online Radio ili uweze kusikiliza radio yoyote mtandaoni

Tunein


Hii pia itakuwezesha kusikiliza Radio nyingi kutoka mataifa mbali mbali zinarusha vipindi vya Radio kwa njia ya mtandao. Utaweza kusikiliza kwa kutumia simu au computer. Ingia kwenye website ya Tunein uweze kusikiliza radio kutoka mataifa mbali mbali. Pia unaweza kudownload Tunein apk ili uweze kusikiliza kwenye simu yako.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.