Jinsi ya kusoma course yoyote ya Udemy bure
Kuna wakati unahitaji kusoma course fulani kama vile web design na zingine kwenye website ya Udemy.com lakini fedha hauna. Hii njia itakuwezesha kusoma course yoyote bila kulipia kiasi chochote che fedha yaani ni bure
Njia ya kwanza
1. Ingia kwenye website ya udemy.com kisha register (sign up). Baada ya kuregister
2. Ingia kwenye website ya disci udemy
3. Chagua course yoyote unayotaka baada ya sekunde 3 utapewa link itakayokupeleka moja kwa moja kwenye website ya udemy kwenye course uliyochagua disciudemy.com. Hapo utaanza kusoma course uliyoichagua
Njia ya pili
1. Ingia kwenye website ya free tutorials
Kisha anza kusoma course yoyote ile unayotaka. Course zote ambazo zipo udemy ndizo hizo hizo zipo kwenye free tutorials

Read more >>> Jinsi ya kudownload vitabu bure mtandaoni
Post a Comment