Website bora za kudownload Movies, TV shows na Series wakati wote

Hizi ni website bora zitakazokuwezesha kudownload Movies, Series na TV shows bure kwenye simu au computer. Utapata latest Movies, TV Shows na Series  zilizo kwenye format mbali mbali. Hata Movies za zamani utazipata. Application bora za kuangalia Movies, TV shows na Series kwenye simu. Kama ni mtumiaji wa simu, tumia VLC apk ambayo itakusaidia kuplay Movies au Series yenye format yoyote. Haina haja ya kuconvert movie yako ili uweze kuangalia kwenye simu.

YouTube

Ni website yenye channel nyingi za Movies, TV shows na Series kutoka mataifa mbali mbali kwahiyo utaweza kuangalia online au kudownload. Jinsi ya kuweka Subitle kwenye Movie au Series yako

Kimcartoon

Ni website ambayo itakuwezesha kudownload latest Movie, Series na TV Shows bure bila malipo yoyote. 

Kissanime

Kama wewe ni mpenzi wa Animation movies basi hii ni website kwa ajili yako kwasababu ina Animation movies nyingi sana zilizo kwenye format mbali mbali kama vile 480p, 720p na 1080p.

Dramanice

Kwa wapenzi wa drama, hii ni website yako ya kudownload drama kutoka mataifa ya Asia. Hakuna malipo yoyote yale yanayohitajika.

Kissasian

Ni website itakayokusaidia kudownload Series mbali mbali kutoka katika bara la Asia. Hakuna malipo yoyote yanayohitajika katika kudownload series

Tricksforpc

Kwa wapenzi wa Movies na Series, hii ni website rahisi na ipo haraka kudownload. Utaweza kudownload Movie au series yoyote ile bure

Oceanofmovies

Hii ndiyo bahari ya Movies. Utapata Movies za zamani au iliyotaka hivi karibuni utaikuta hapa. Hakuna malipo yoyote yale yanayohitajika kudownload movie. Movies zote ni HD zenye format ya 720p

Mycoolmoviez

Ni website bora ya kudownload Movies kutoka katika mataifa mbali mbali. Hakuna malipo yoyote, ni bure

9xmovies

Ni website itakayokusaidia kudownload Movies na TV shows mbali mbali. Ni website yenye Movies kutoka mataifa mbali mbali. Utaweza kudownload na kuangalia Movie yako offline

Fzmovies

Ni website yenye Movies kutoka mataifa mbali mbali. Utapata Movies nyingi zenye format ya HD za kuanzia 720p na 1080p. Movies zote ni bure. Kama ni mpenzi wa movies za kihindi, hii ndiyo website iliyosheheni movies za kihindi

Ololo

Kupitia website hii, utaweza kudownload Movies, Series na TV shows kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo Asia, Amerika na Europe. Search jina la series au movies utakayo, utaletewa na utaweza kudownload na kuangalia offline. Orodha ya Movies, Animation na Series nzuri za kuangalia wakati wote

Kama ni mpenzi wa TV Shows, basi hii ni website kwa ajili yako. Ina TV shows nyingi na nzuri kutoka mataifa mbali mbali.

Dramanice

Haina tofauti na Ondramanice kwasababu series zinazopatikana Ondramanice utazipata Dramanice. Series zote ni bure

Ondramanice

Ni website ambayo itakuwezesha kudownload latest series kutoka Korea. Utapata Series kali zilizo kwenye format ya HD. Kila kitu ni bure, hakuna malipo yoyote

Watchasian

Ni moja ya website nzuri kwa series za Kikorea. Kama unapenda series za Kikorea basi hii ni website kwa ajili yako. Utapata latest Series kali kutoka kwa waigizaji nguli wa Kikorea

Dramago

Dramago ni mojawapo ya website ilisheheni Series kutoka bara la Asia. Utapata Series kutoka Korea, Ufilipino na mataifa mengine ya bara la Asia. Series zote ni bure yaani hakuna malipo yoyote

Lightdl

Kama ni mpenzi wa Movie, Series na Games. Hii ni website kwa ajili yako kwasababu inakupa kile unachokitaka na kila kitu ni bure kabisa

Godownloadmovie

Ni website ya Action, Animation na Comedy Movies. Kama unapenda movies za Action kama Expendables basi hii website itakufaa.

Primewire

Ni website ambayo itakupa unachokipata kwenye tasnia ya Movie, Series na TV shows. Download na angalia offline movie, series au TV shows zako

Toxicwap

Hapa utapata  Movies, Music, Video na TV series kutoka mataifa mbali mbali. Ingia Toxicwap na uanze kufurahia ulimwengu wa Movies

Hili ni bonge la website ya movies, series na TV shows. Movies zote ni HD na ni bure kabisa yaani hakuna malipo yoyote yanayohitajika katika kudownload

Dramacrazy.net

Ni website yenye Series kali kutoka bara la Asia. Kupitia website hii utapata Series kali kama The Tale of Nokdu na zingine nyingi.

Myasiantv

Ni website yenye series za asia tu yaani za kutoka Korea, Ufilipino, China  na nchi zingine zilizo bara la Asia. Utaweza kudownload Series yako kwa ubora unaotaka na kuingalia ukiwa offline

Bitdownload


Ni website itakayokuwezesha kudownload latest movies, series na TV shows kwa urahisi zaidi. Utaweza kudownload series kama Breaking Bad, Arrow na zingine nyingi

Watchepisodes4.com

Hii ni website kwa ajili ya series kwahiyo kupitia website hii utaweza kudownload series kutoka mataifa mbali mbali. Hakuna malipo yoyote yanayohitajika

DramaKoreaIndo

Kama ni mpenzi wa drama, hii ni website kwa ajili yako. Utaweza kudownload Series za kutoka bara la Asia na subtitile zake.  Hakuna malipo yoyote yale yanayohitajika. 

Korea4dl.com

Ni website yenye series na movies za kikorea tu. Utaweza kudownload series na kuangalia offline kwa muda wako. Series zake ni HD

DramaBus.com

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.