Jinsi ya kutengeneza WIFI Hotspot kwenye computer

Wifi Hotspot kwenye computer itakusaida kutumia internet kwenye simu na vifaa vingine kama vile simu Macbook, Computer, Tablet n.k kutoka kwenye computer yako. Kwahiyo kupitia modem kwenye computer yako utaweza kushare internet na watu wengine

Hizi ni software bora na nzuri za kutengeneza WIFI Hotspot kwenye computer yako

Mahitaji

Connectify
Ostoto Hostpot
mHotspot
Baidu WiFiHotspot
MyWIFIRouter

1. Connectify



Hii software ni nzuri sana na itakuwezesha kutumia zaidi ya watu 10. Ni ya kulipia ila unaweza kutumia trial


2. Ostoto Hotspot



Hii ni software ni ya bure itakayokuwezesha kutumia Wifi kutoka kwenye computer yako

3. mHotspot



Hii pia ni ya bure ambayo itakusaidia kutumia internet kwenye kifaa chako kutoka kwenye computer

4. Baidu WiFi Hotspot



Ni ya bure haitaji kulipia ambayo itakuwezesha kutumia internet kwa vifaa 10


5. My WIFI Router



Hii ni ya bure ambapo utaweza kutumia internet kwa watu kumi

2 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.