Video editor bora kwa ajili ya channel ya YouTube
Hizi ni software muhimu, rahisi na bora kutumia kwa mtu anayejifunza kuedit video kwa ajili ya channel yake ya Youtube. Unapofungua channel ya Youtube utahitaji kuupload video kwenye Channel yako ya Youtube. Soma zaidi Jinsi ya kufungua Youtube Channel
Haya ndiyo maswali yanayoulizwa na watu wanaotaka kuanzisha Youtube Channel. Software nzuri kwa beginner kwa ajili ya channel ya Youtube
Je, software gani nzuri kutumia kuedit video kwenye Youtube Channel kwa mtu anayeanza (begginer)?
Hizi ndizo software rahisi kutumia kuedit video kwa mtu anayeanza Youtube Channel
1. Movavi screen recorder
Hii inachukua screenshot na ina record screen ya computer mpaka sauti. Mbali na hizo sifa utaweza kuedit video yako uliyorecord
kwa kutoa vipande usivyovihitaji
2. Movavi video editor
Hapa utaweza kukata vipande ambavyo huvihitaji na kuviondoa. Unaweza kusema kama napendelea Movavi ila ndiyo rahisi kutumia kwa mtu anayeanza. Utaweza kuweka Audio kwenye video zako, kutoa sauti na kutoa vipande usivyovihitaji
3. Photodex ProShow Gold
Hii pia ni nzuri kwa upande wa kuweka effect mwanzo na mwishoni. Kama unataka mwanzo wa video yako inaanze kwa kutumia jina lako au mwisho iishe
kwa ina lako. Tumia Photodex ProShow Gold
4. Magix VEGAS Movie Studio Platinum video editor
Hii ni nzuri kwa beginner kutumia kwasababu ina feature nyingi sana zitakazokusaidia kuedit video zako kwa ajili ya channel yako ya Youtube
5. Wondershare Filmora kwa video editor
Hii ina feature nyingi sana ikiwemo built in Audio ambazo zitakusaidia kuweka kwenye video zako. Unaweza kukata vipande usivyovihitaji na pia
kuficha maneno ambayo hutaki yaaonekane. Jinsi ya kudownload software za computer na application za simu bure
6. GiliSoft Video Watermark Removal Tool
Hii utaweza kuweka watermark kwenye video yako mfano. Mundeba TV juu kulia mwa video yako

Post a Comment