Jinsi ya kufix theme Preview is currently unvailable My Theme Custom Modified in blogspot


Linapotokea hili tatizo, Post za blog yako hazitaweza kuonekana kwenye search engine ya Google, Bing au Yahoo yaani itakuwa kama ipo offline na pia kila template utakayoweka itakuwa hivyo hivyo. Hata ukiweka Default theme bado tatizo litaendelea kuwepo

Namna ya kufix theme Preview is currently unvailable My Theme Custom Modified in blogspot

1. Ingia kwenye blog yako. Bonyeza Settings >>> Basic >>> Permissions >>> Blog Authors. Toa email ya kwanza uliyotumia kutengenezea blog yako.



Kama email ipo moja. Tengeneza email kwenye browser nyingine kama unatumia chrome, tengeneza kwenye firefox, Microsoft edge au Opera Mini kisha add email kwenye blog yako. Namna ya kuadd au kubadilisha email kwenye blogspotBaada ya kuadd email, sasa toa email ya kwanza uliyotumia kusajilia email yako.



 2. Tumia browser nyingine tofauti unayotumia kama ni chrome, fungua kwenye firefox kisha sign in email yako kwenye Google kisha ingia Blogger.com. Sign in kwa email mpya uliyotengeneza. Unaweza kuadd email nyingine. Baada ya kukumbana na hili tatizo, nilitoa email niliyotumia kusajili mwanzo, nikatengeneza email nyingine kwenye browser nyingine, kisha nikaadd kwenye blog yangu, nikaitoa ile ya mwanzo ikabaki hii mpya.



3. Baada ya kutoa email, theme ya dashboard itaonekana hivi



4. Layout itaonekana hivi


See the video below





Importance Notice
Usitoe email uliyotumia kusajili kabla ya kutengeneza email nyingine kwenye browser nyingine na kuiadd. Na hakikisha email yako umeipa Admin. Kama una blog zaidi ya moja hakikisha kila blog ina email moja na inatumika kwenye browser moja tu.

No comments

Note: Only a member of this blog may post a comment.