Angalia Live TV channels online zaidi ya 50 bure kwenye simu yako
Hii ni application bora ambayo itakusaidia kuangalia channel za Television bure kwenye simu yako ya smartphone Android. Ni rahisi kuitumia hata kwa mtu yoyote hata kama hana ujuzi wa masuala ya I.T
Haitaji malipo yoyote ili kuweza kuangalia channel za TV kwenye simu yako.
Kuna channel nyingi sana zaidi ya 50 za Michezo, Habari, Mpira, Muziki n.k Utaweza kuangalia, BBC, Aljazeera, Discovery, National GEO, Sony Ten 1, 2, 3, 4, 5, 6 n.k Hizi ni baadhi tu za cahnnel
Channel zote, zipo katika muundo wa HD na Siyo HD, utachagua wewe.
Jinsi ya kuitumia hii application
1. Download Live Stream app
2. Fungua Appplication yako
3. Chagua Channel yako unayotaka kudownload
Post a Comment