Jinsi ya kuweka na kutoa bitlocker encryption kwenye Flash Drive na Hard disk
Bitlocker encryption ni mfumo wa ulinzi uliowekwa kwenye computer yako ambapo itaweka password kwenye vifaa vya kuhifadhia data zozote kama vile Flash drive na Hard disk. Mtu atakayetaka kuona data zilizo kwenye Hard disk au Flash drive ni lazima kuweka password ili aweze kuona.
Hii ni njia salama ya kulinda taarifa zako muhimu zilizo kwenye flash drive au hard disk ambapo utaweka bitlocker encryption kwenye kifaa chako.
Kama unataarifa muhimu na hutaki mtu yoyote azione basi tumia bitlocker encryption, itakusaidia sana.
Post a Comment