Jinsi ya kufix the recording could not saved because of an error in Movavi Screen Capture
Movavi screen capture ni software ambayo itakusaidia kupiga picha (screenshot) na kurecord video na kuedit vile unavyotaka.
Ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote na inafaa sana hasa wale wanaomiliki channel za YouTube.
Kuna tatizo huwa linajitokeza pale unpotumia Movavi screen capture na kukuletea ujumbe wa recording could not saved because of an error
Nimekuandalia video ambayo itatua tatizo la recording could not saved because of an error kwenye Movavi screen capture
Post a Comment