Jinsi ya kuweka password kwenye File lolote
Hii ni njia ambayo itakusaidia kuweka password kwenye mafile ya Rar au Zip katika computer yako.
Baada ya kuweka password, itakulazimu pindi unapofungua file zako, zitakuomba uweke password ili uweze kuona file zako.
Itakusaidia kulinda file zako zenye document muhimu, mtu mwingine asiweze kuzitumia.
Post a Comment